Wednesday, May 29, 2013

Wataalamu wa Kilimo wakiwa katika mafunzo ya ICT-Tools

Baadhi ya wataalamu wa kilimo na mifugo wakiwa katika mafunzo ya matumizi ya ICT-Tools(Skype,Blog,google docs,twiter,dropox,facebook,u-tube n.k) huko Morogoro hivi karibuni. Hii itasaidia katika kuwasiliana na kutunza information zinazohusu masuala ya kilimo.

Wednesday, May 22, 2013

Biashara matangazo

Magate haya yanauzwa Vikindu.

Watoto na vinywaji

Kila mtu ameshika kinywaji chake! Utawaeleza nini watoto mbele ya soda?

Lori la Kichina

Yuko wapi 'nyumbu' wetu akatize barabarani?

Si tarumbeta!

Ni utamu wa soda!

'The cat is under the chair'

Ndivyo nilivyojifunza lugha ya kiingereza. Sijawahi kusoma English medium school lakini hii ya 'The cat is under the chair hainipigi chenga!

Mnara wa Rhino Cement

Mnara wa kiwanda cha Cement cha Rhino kilichoko Kisemvule, Vikindu

Nikiwa Kisemvule

Weekend yangu Kisemvule

Wanaingia uwanjani

Timu ya soka ya shule ya msingi Mwandege wakiingia uwanjani wakitafuta nafasi ya kuwemo katika Vikindu Soccer Academy.

Wote wanasoma ujumbe

Malata na Vikindu Soccer Academy

Bw. Malata mbunifu wa Vikindu Soccer Academy akizungumza na wachezaji wa Vikindu Sekondari katika kiwanja cha Shule ya msingi Kisemvule iliyopo kwenye kata ya Vikindu katika harakati ya kuunda academy hiyo.

Kisima cha maji

Hata kama anatumia kopo lilifungwa na kamba kuchota maji kitu cha muhimu maji yanapatikana.

Nani anastahili kufua nguo

Tabia ya usafi hujengwa. Je tunawasaidia wanawake zetu kufua nguo? Ni nani hasa anastahili kufua nguo?

Amechelewa kufika shuleni

Ni dhahiri amechelewa kufika shuleni, hata hivyo hana haraka ana wasiwasi!

Monday, May 6, 2013

Waziri Mathayo azindua Baraza la Malisho ya Mifugo na Vyakula vya Wanyama

Tarehe 25/4/2013 Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Mathayo David Mathayo alizundua Baraza la Kwanza la Malisho ya Mifugo na Vyakula vya Wanyama katika Hotel ya Blue Pearl-Ubungo Plaza jijini Dar Es Salaam.Banzi wa Moro ni mjumbe wa Baraza hilo. Kaeni mkaa wa kupata viwango bora vya vyakula vya mifugo!

Happy Birthday Bibi!

Hivi ndivyo alivyoimbiwa na wajukuu zake 'happbirthday Bibi Dolorosa Mdimi' siku ya Birthday yake ya 60.

Champaigne ya Miaka 60

Wakati wa kuazimisha miaka 60 ya kuzaliwa kwa Bibi Dolorosa Mdimi. Wajukuu wapatao 17 walihudhuria sherehe hiyo na mmojawapo - Catherine Banzi alifingua Champaigne!

Bi Harusi

Wanashuhudia kukabidhiwa mke

Hivi ndivyo inavyokuwa wakati mume anapokabidhiwa mke kwa taratibu za dini ya Kiislamu. Sheikh hufungisha ndoa hiyo bila kuwepo bibi harusi. Mashuhuda hawakosi

Dolorosa Mdimi-Cake ya miaka 60

Mama Dolorosa Mdimi akikata keki ya kutimiza miaka 60.

Bw & Bibi Mangengesa Mdimi - Miaka 40 ya ndoa

Bwana na Bibi Mangengesa Mdimi wakifurahi miaka 40 ya ndoa yao nyumbani kwao Makuburi, Dar Es Salaam.

Mzee Mangengesa Mdidimi-Veteran Journalist

Mzee Mangengesa Mdimi  akifurahia miaka 40 ya ndoa yake nyumbani kwake Makuburi, Dar.