Friday, May 30, 2014
Maandalizi ya mazishi ya bibi Nyausonzo kijijini Ngarambe
Maandalizi ya maakuli kabla ya mazishi kijijini Ngarambe
Wanawake wakiwa kwenye msiba wa bibi Nyausonzo kijijini Ngarambe
Moody mjukuu wa marehemu Nyausonzo akiandaa chakula kabla ya mazishi
Hapa naongea na Makishe huku Baba Herieth akitabasamu
Wanawake wakiwa kwenye msiba wa bibi Nyausonzo kijijini Ngarambe
Moody mjukuu wa marehemu Nyausonzo akiandaa chakula kabla ya mazishi
Hapa naongea na Makishe huku Baba Herieth akitabasamu
Barabara ya kwenda kijijini Ngarambe haiko katika hali nzuri
Barabara ya kutoka Mkuranga mjini kuelekea Kisiju Pwani si nzuri sehemu nyingi ina mashimo mashimo hivyo kama ni gari ndogo huchukua muda mrefu kufika mahali unapokusudia. Barabara hii ndiyo inayotufikisha katika kijiji cha Ngarambe kwa mazishi ya Bibi Nyausonzo.
Gari iliyotupeleka mazikoni Ngarambe
Ilibidi kuwachukua ndugu wengine waliotusubiri pale Mkuranga ili tuweze kusafiri pamoja kwenye mazishi ya Bibi Nyausonzo huko Ngarambe.
Kuelekea mazikoni Ngarambe
Hapa ni Mkuranga njiapnada ya kwenda Ngarambe.Shemeji Waziri (kushoto) pamoja na dada yake Apendae wanaelekea kupanda gari tulimokuwemo tayari kwa safari kuelekea mazikoni Ngarambe.
Wajukuu na vitukuu safarini kwa mazishi ya Bibi Nyausonzo
Hawa wamebahatika kuzika Bibi Nyausonzo wa Ngarambe. Katikati ni kitukuu kushoto na kulia ni wajukuu.
Alama ya CCM bado ipo - UDOM
Hapa ndipo palipokuwa panaitwa Ukumbi wa CCM-Chimwaga, Dodoma. Nembo ya CCM bado ipo lakini sasa ni moja ya kumbi kubwa kabisa Chuo Kikuu Dodoma.
Subscribe to:
Posts (Atom)