Thursday, June 19, 2014
Hata kilimo cha bamia kina matatizo yake
Bamia ni mboga nzuri licha ya kuwa hali ya kuteleza. Watanzania wengi hupenda kula bamia hasa linapochanganywa na nyanya chungu. Lakini ili uweze kupata zao bora la bamia lazima lipate mbolea na unyevu wa kutosha na kulikinga na magonjwa na wadudu
Uyoga
Huyu ndiye Van Persie wa Uholanzi
Van Persie anang'ara huko Brazil anajituma kwa timu yake ya Taifa 'The Orange' amewafunika Rooney na Ronaldo!
Monday, June 16, 2014
Zawadi kutoka Africana Group
Dada Vero na Cesar wakionyesha bidhaa ya Africana Group |
Toleo la kanga kutoka Africana Group (Kibanda Kimoja) |
Dada Barbara alifurahi kweli kweli |
Wana Africana wakitunza wanandoa zawadi kutoka Africana Group Dar |
Kapu la mama
Kamati ya Mipango
Nipo nje na timu yangu ndogo tukipanga jinsi tutakavyowapokea wanandoa. Uncle Sophy na mumewe Rajabu
Mchakato wa kufunga ndoa kati ya Bw. Rajabu na Bi Sophy Mluge
Subscribe to:
Posts (Atom)