MC Leopold ni mshehereheshaji anayechipukia katika Jiji la Dar Es Salaam. Anapatikana zaidi maeneo ya Magomeni. MC asiyekuwa na Makuu, Kijana na anayeitendea vyema kazi yake. Mawasiliano hayo hapo. Na mweleze umemuona kwenye Banzi wa Moro. Hahaha.
Ukitaka kuingiza mbolea mpya nchini lazima ifanyiwe utafiti kuona kama inafaa na haina madhara. Huu ni utafiti wa mbolea angalia tofauto. Mkono wa kushoto wameweka mbolea inayofanyiwa utafiti. Kati kati hakuna mbolea.