![]() |
| Dr. Kullaya kutoka ARI-Mikocheni akitoa maelezo wa mradi wa WEMA kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea kituo hicho tarehe 19/3/2013 |
Monday, April 8, 2013
Mradi wa WEMA: Maelezo kwa Rais
Saturday, April 6, 2013
Fotoa ufotolewe
Watafiti na Rais Kikwete
Thursday, April 4, 2013
Rais Kikwete akizindua Maabara ya Uhandisi Jeni
Wednesday, April 3, 2013
Mkuu wa nyumba ya Masista wa Vicent wa Paulo
Wanafunzi kwenye Ibada ya Matawi
Vikindu Dispensary
Zahanati hii inamilikiwa na masista wa Shirika la Mt. Vincent wa Paulo-Parokia ya Vikindu, Jimbo Kuu la Dar Es Salaam, kilomita takribani 35 kutoka katikati ya Jiji la Dar Es Salaam kuelekea wilaya ya Mkuranga, mkoa wa Pwani.Zahanati hii hutoa huduma za 'maternity' watoto, ushauri nasaha kwa waathirika wa HIV pamoja na huduma nyingine za Afya. Huduma zake ni bora sana hupokea pia bima ya NHIF.
Upanuzi wa Bandari ya Dar Es Salaam
Wapo 'Bongo'
Chuo cha Mabaharia
Azam Ferries
Nimerudi
Majukumu ya kazi,kuumia kidole na matatizo ya mtandao yamenifanya kuwa kimya kuanzia mwezi February tarehe 14 hadi leo. Wapenzi wa Banzi wa Moro najua mmesumbuka sana na kujiuliza kilichotokea. Hayo niliyoyataja ni sababu kuu ya kutoning'iniza. Kuna watu walioniuliza vipi Banzi. Poleni sana. Sasa nimerudi.Pichani jiji la Dar na tatizo sugu la traffic jam.
Kempsiki 'perhaps'
Subscribe to:
Posts (Atom)








