Saturday, November 12, 2011

Nilifurahishwa na maandamano haya

Wawata walivalia sare zao
Watoto wa utatu walishiriki barabara kwenye maandamano huku wakiimba kumsifu Mungu
Msaidizi wa Askofu alihakikisha kuwa muda unazingatiwa na kusimamia maandamano vizuri

Masista nao walikuwa na nafasi yao kwenye maandamano
Katekesta alihakikisha kuwa maandamano yanfanyika kwa utaratibu uliowekwa
Paroko wa Ruaha Fr.V.Jakka alishiriki kwenye maandamano
Watoto wa Kipaimara wakiwa kwenye sare zao
Baba Askofu na mapadre katika maandamano

Imani moja

Kofia na fimbo inaonyesha mamlaka.Picha ya pamoja ya ukumbusho wa Kipaimara na Baba Askofu Nzigilwa,Parokia ya Vikindu Novemba 6 2011

Ipi ni tamu Pepsi au Coca?

Niliwakuta watoto hawa mmoja akiwa anafyonza Pepsicola. Hivi watoto wa Tanzania wanapenda kunywa soda gani?

Thursday, November 10, 2011

COSTECH yakabidhi hundi kwa DRD


Hatimaye leo tarehe 10/11/2011,Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) imekabidhi hundi yenye thamani ya Tshs 1,424,000,000/= kwa Idara ya Utafiti na Maendeleo, Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kwa madhumuni ya kukarabati baadhi ya miundombinu kwenye vituo vya utafiti hapa nchini.

Duka la Nyama la Kisasa


Duka la kuuza nyama linatakiwa kuwa safi, lenye mashine ya kukata nyama (siyo gogo na shoka), jokofu, mzani unaopima vizuri. Jana jioni pale Mbagala Sabasaba nilipata kununua nyama kwenye duka la nyama lenye sifa hizo (pichani)

Shukrani

Familia ya Bw & Bibi Innocent J.Banzi wa Kisemvule, Mkuranga, Pwani inatoa shukrani za dhati kwa wale waliowezesha kufanikisha sherehe za Kipaimara cha mtoto wao Catherine I.J.Banzi kuanzia kanisani Vikindu hadi Kisemvule kwa Pembe.Pichani Mama Mloka aliwakilisha kuanzia kanisani hadi nyumbani.. Asanteni sana.

Mkwe anapotambulishwa


Nilipata fursa ya kumtambulisha Mama Mbawala (Mama Mkwe) kutoka Arusha, bibi yake Catherine.

Africana walipanga na kusimamia shughuli nzima





Catherine alisoma Somo la Kwanza

Hii itabakia kuwa historia katika maisha ya Catherine I.J.Banzi

Walikuja kumpongeza Catherine

Mmoja wa marafiki wa Mwl.Mbawala (Mama Banzi) Mwl. Nora Mlay na mdogo wake walikuja kumpongeza Catherine

Tusubiri Video


Baba mdogo Slyvester Jakka alinasa tukio zima kuanzia kanisani hadi nyuymbani. Tusubiri video.

MC-Bonge!


Huyu ndiye MC wa familia-MC Maria siku zote tuko pamoja naye. Anajulikana kwa jina la MC Bonge.Hakikisha aliinogesha sherehe!

Kushika mkono je?


Kila mtu alionyesha ufundi wake wa kucheza







Kila mmoja aliwajibika

Fr. Jakka alifungua sherehe kwa sala
Aidha alitoa nasaha kwa mtoto wake Catherine

Fr Jakka na watoto wake


Fr.Jakka aliona heri apige picha ya ukumbusho na watoto wake.

The couples!

Kuna nini tena baba na mama wako pamoja! kutoka kushoto Mrs Luanda, Mr Luanda, Mr Mkude and Mrs Mkude wakiwa kwa Mzee Banzi-Kisemvule

Ndani ya marafiki


Tuko pamoja-Kutoka kushoto Michael Luanda, Lawrence Mkude, John Banzi (Inno) na Paul Mbetwa kwenye viwanja vya Kisemvule.

Dada Mkubwa-Vero Kabatta

Dada mkubwa Veronica Phillip aliyekuwa akifanya kazi na kuishi Mbeya(a.k.a. Mama Kabatta)-aliyeshika sahani ya chakula alikuwepo na kufurahi sana na tulikuwa kwenye banda moja

Mzee wa Bandari je?

Mkude alikumbuka nyumbani Matombo na kucheza na msinga alitukumbusha 'ukae' na jinsiya 'kudeng'a'
Alifungua champaigne
Mkewe Sango Kasiba -mwenye blauz nyeusi(Mama Mkude alikuwepo chini ya mkorosho)
Mr.Lawrence Mkude alitambulishwa (Mzee wa Bandari)