Saturday, May 7, 2011

Kuku Kishingo

Niambie utamu wake!

2 comments:

sophia said...

Wazee wa zamani walikuwa wajanja sana! eti ooh kuku kishingo wanawake hawaruhusiwi kula! kumbe ni kwa sababu ya utamu wake wakajua wasipotumia mbinu hiyo ataishia jikoni! kwa kweli kuku kishingo ni mtamu sana Banzi!

Innocent John Banzi said...

Hi shem asante kwa comments zako. Wazee wa zamani walikuwa na busara!