Hii inahatarisha maisha.Wanafunzi wengi na vijana hupenda kudandia magari ili wapate kitu kinachoitwa 'lift' lakini gharama yake mara nyingi ni kuhatarisha maisha. Angalia picha hizi ambazo zimenyakwa na Banzi wa Moro kuanzia kituo cha Kongowe hadi Mbagala Rangi 3 jijini DAR ES SALAAM

Ndani ya lori

wanajiandaa kushuka chini


Wanapanda
No comments:
Post a Comment