Siajabu kwa mkulima kuvuna magunia 15 ya ufuta yenye kilo 100 kila gunia kwa hekta. Hii inawezekana kwa kulima ufuta aina ya Lindi 02 ambayo hukomaa kati ya siku 100-110 tangu iote.Aina hii ya ufuta ina asilimia 55 ya mafuta. Hii ni habari njema kutoka kwa watafiti wa Kilimo kutoka kituo cha Utafiti Naliendele,Mtwara.
26 comments:
jee kama mtu antaka kulima ufuta morogoro ni maeneo gani yanafaa
jee kama mtu antaka kulima ufuta morogoro ni maeneo gani yanafaa
jee kama mtu antaka kulima ufuta morogoro ni maeneo gani yanafaa
jee kama mtu antaka kulima ufuta morogoro ni maeneo gani yanafaa
jee kama mtu antaka kulima ufuta morogoro ni maeneo gani yanafaa
M ntapataje hiyo mbegu...
M ntapataje hiyo mbegu...
Ukitaka kupata mbegu hizo wasiliana na Mtafiti Mkuu wa Kilimo aliyebobea katika utafiti wa mbegu za mafuta hasa Ufuta na Karanga Dr. Omari Mponda wa kituo cha Utafiti wa Kilimo Naliendele, Mtwara. E-mail :- kalanjekanduru@gmail.com ; mobile 0784471813
Ukitaka ushauri wa kitaalamu wa kilimo cha ufuta hapa Tanzania wasiliana na Mtafiti Mkuu wa Kilimo aliyebobea katika utafiti wa mbegu za mafuta hasa Ufuta na Karanga Dr. Omari Mponda wa kituo cha Utafiti wa Kilimo Naliendele, Mtwara. E-mail :- kalanjekanduru@gmail.com ; mobile 0784471813. Lakini ninavyofahamu kwa mkoa wa Morogoro ambako mimi natoka wilaya ya Morogoro vijijini sehemu za Matombo, Kisaki na mvua zinafaa kwa kilimo hicho. Pia wilaya za Kilosa, Gairo na hata Kilombero. Kama uko karibu na wilaya hizo fika ofisi za kilimo za wilaya kwa ushauri mzuri wa kitaalamu
kwa hapa dar wapi wanauza hiyo mbegu ya lindi02
Mh. mbeya maeneo ya lupa panafaa kulima zao hilo? kwa mm ndo naanza kwa heka tano nitatumia kiasi gani cha mbegu naomba msaada kwa hilo
Mh. mbeya maeneo ya lupa panafaa kulima zao hilo? kwa mm ndo naanza kwa heka tano nitatumia kiasi gani cha mbegu naomba msaada kwa hilo
Mimi nipo Mwanza, napenda sana kilimo cha ufuta ila je kuhusu hali ya hewa inawezesha kilimo hicho kufanya vizuri huku???
Nipo Tanga Nita pataje hiyo mbegu 0755-971092
Nipo tanga nitapataje hyo mbegu 0714419408
Good Ila tatizo liko kwenye upatikanaji was hyo mbegu
Nataka kujitosa kulima zao hilo hapo Mtwara, natafuta mwenyeji nijue namna ya kupata shamba la kukodisha na bei ya yake kwa ekari inakuaje.
Mwenye kujua naomba msaada kama mashamba ya kukodisha yanapatikana.
Mimi niko Dar kwa sasa.
Kwa masasi hizo mbegu nitazipata wapi?
Utofauti wake katika kustahimili magonjwa ukoje hii mbegu ya Lindi 02?
Naomba kuuliza gunia la kilo mia moja mafuta kiasi gani
Naitaji ushauri juu ya kilimo Cha ufuta. Niko shamba liko mkoa wa pwani wilaya ya kibiti
Nikitaka kupata mbegu ya ufuta Lindi 2 na naliendere napata wapi
0688593404 - mm nachukulia Lindi ila nalimia Dodoma.
Post a Comment