Kama hujawahi kutafuna korosho basi picha hii ni kishawishi tosha za kuanza kula korosho halafu utaniambia. Mikoa yote ya pwani nchini Tanzania inazalisha korosho lakini mikoa ya kusini (Mtwara na Lindi ) ni maarufu zaidi. Na huku ndiko kiliko kituo cha Utafiti Naliendele ambako wako watafiti waliobobea na utafiti wa korosho. Sasa wamekuwa gumzo barani gumzo jinsi wanavyolipandisha chati zao la korosho.
No comments:
Post a Comment