Tarehe 01 Machi 2014 Kanisa Katoliki Parokia ya Magomeni (Mashahidi wa Uganda) Jimbo Kuu la Dar Es Salaam lilibarikiwa na Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo Askofu wa Jimbo hilo. Kanisa hilo lilibarikiwa baada ya kufanyiwa ukarabati mzito na kupata sura mpya kama inavyoonekana pichani. Nani alijenga sasa
KANISA kama siyo
MIMI na
WEWE. Amina.(Picha zote kwa hisani ya Slyvester Jakka)
No comments:
Post a Comment