Tuesday, April 22, 2014

Bustani ya Mwembeyanga

Hii ni bustani ya Mwembeyanga  inayomilikiwa na Halmashauri ya  Manispaa ya Temeke. Bustani hii ina miti ya kutosha inayotoa kivuli na kufanya mahali pazuri pa kumpuzika, kufanya mazoezi. Lakini kuna baadhi ya wananchi huitumia bustani hii kwa matumizi  mabaya kama vile uvutaji bangi. Isitoshe bustani hii inatakiwa kuboreshwa zaidi kwa kuongeza miundo mbinu mingine kama vile viwanja vya kucheza watoto wadogo, viti vya kupumzikia na ikiwezekana ndani ya bustani hii kukawa na sehemu ambapo magazeti yanapatikana ili watu waweze kujisomea.

No comments: