Monday, October 27, 2014

Mc- Tegete akifanya vitu vyake ndani ya ukumbi wa Maaskofu- Kurasini

MC-Tegete ni mmoja kati ya maarufu wanaochipukia jijini Dar. Hapa anaonyesha vitu vyake ndani ya ukumbi wa Maaskofu  Kurasini wakati wa sherehe  ya harusi ya Bw na Bibi Remmy Shayo wa Vikindu-Muranga (26/10/2014)

No comments: