Friday, November 27, 2015

Watu tumeumbwa tofauti

Wakati Mhe.Diwani Nicholaus Kampa wa Kata ya Vikindu alipowaalika wapiga kura wake na kuwashukuru, huyu (alikuwa amelewa) alichukua chakula kiasi hiki. Kwa kuwa nilikuwepo kwenye hafla hii, nilimshuhudia akichukua chakula mara mbili. Kweli watu tumeumbwa tofauti.

No comments: