Thursday, December 8, 2011
Miaka 50 ya uhuru banda la Wizara ya Kilimo
Wataalamu walioko bandani hukaribisha wageni na kutoa maelezo sahihi

Trekta linarahisisha kazi ya utayarishaji shamba, usafirishaji na kazi nyingine ni zana muhimu kwa mapinduzi ya kilimo
Wednesday, December 7, 2011
Chodo na rivasi ya taxi
Mama anampongeza binti yake
Maria cheti cha kwanza cha elimu

Sikumbuki kama nilipata elimu ya awali! Na kwakweli sina cheti cha elimu ya awali na wala sikuvaa joho hata baada ya kumaliza elimu ya msingi na sekondari. Lakini mwanangu Maria ameanza vizuri. Namuombea kwa Mungu ampe afya na uwezo wa kujikita vizuri katika elimu kwani itamsaidia sana katika maisha yake. Wazazi tunaahidi kumsaidia.
Maria darasa la awali St. Vicent Vikindu 2011
Tuesday, December 6, 2011
Joho la kwanza la familia
Ndivyo tulivyompokea binti yetu
Mama ampongeza mwana
Hakika tulimtayarishia keki nzuri kutoka Tandika ambayo ilisafirishwa kwa daladala za kuunga unga - Tandika-Kongowe-Kisemvule lakini nilifikia nayo salama siku ya Ijumaa tarehe 2/12/2012
Binti yetu Maria Banzi alikuwa ni mmoja wa wahitimu katika Kituo cha Awali cha St. Vicent-Vikindu. Hivi ndivyo tulivyompongeza.
Mgeni Rasmi alitunuku vyeti
Sr. Miriam
Watoto wa St. Vicent wakicheza ngoma ya asili
Friday, December 2, 2011
Jerry Muro -Huru

Jerry Muro yu huru. Swali. Je, ataendelea kuandaa vipindi vizuri vya kuibua mambo kama ilivyokuwa zamani?
Mimi namshabikia sana Murro kwa umahiri wake katika fani hiyo. Ni moja kati ya waandaji wazuri wa vipindi vya TV hapa nchini. Namshauri, kama hatorudi kazini aanzishe media organization/institution/company yake binafsi.
Raslimali watu
Sunday, November 27, 2011
Chodo na kabati limeanguka
Wapenzi wa Soka Kisemvule
Subscribe to:
Posts (Atom)






