Maendeleo ya kweli ni yale yanayoonekana kwa wengi. Ikiwa
vijiji vyetu vitakuwa na huduma muhimu,
maji safi,
umeme, barabara nzuri, shule, huduma za afya, nyumba bora kwa kweli tutapiga hatua kimaendeleo. Vijana wetu watapenda kuishi
vijijini, kufanya kazi vijijini na kuzalisha vijijini. Kwa hiyo nasema Maendeleo yaanzie vijijini.
No comments:
Post a Comment