Mtoto wa kimasai akinyonyeshwa maziwa kutoka kwenye kibuyu. Wamasai ni kabila linaloenzi mila na tamaduni za kwao. Moja ya tamaduni hizo ni utumiaji wa maziwa. Tangu wakiwa wadogo wamasai hutumia maziwa kwa lishe kwas hali hiyo ni nadra sana kuwakuta watoto wa kimasai wenye utupiamlo.
(Picha kwa hisani ya gazeti la DailyNews)
No comments:
Post a Comment