
Hongera SSC!
Habari nilizozipata kutoka mtandaoni zinaeleza kuwa Simba Sports Club ya Tanzania imeibanjua Club ya Lengthens ya Zimbabwe mabao 3-0 katika mashindano ya Confederation Cup. Mabao hayo yamefungwa na Mohamed Banka, Musa Hassan Mgosi na Mohamed Kijuso.
No comments:
Post a Comment