Tuesday, October 11, 2011

Wahitimu wasichana Kisemvule

Pichani wahitimu wasichana wa darasa la saba wa shule ya Msingi Kisemvule, wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. Katikati ni binti yangu Catherine Banzi amenihakikishia kuwa atashinda mtihani wa darasa la saba na kuendelea na masomo ya Sekondari. Alitakalo na liwe kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu.

1 comment:

Belo said...

Hongera Cathy ingawa safari ndio inaanza,MUNGU atakusaidia.Naona sasa amebaki "Maria kichwa"