|
||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Hebu angalia takwimu za ufaulu kwa baadhi ya shule za msingi maarufu Morogoro vijijini-Hali ni tete. Tukae na tuone jinsi ya kujikwamua kutoka kwenye hali hii. Mwaka wa jana pia hali ilikuwa si nzuri. Hata wanafunzi wanaofanya mtihani kwa darasa la saba ni wachache ukilinganisha na shule nyingine. Basi kwa uchache huo nilitegemea kuwa watoto wangefanya vizuri. Wanaweza wasifanye vizuri kwenye somo la kiingereza lakini hesabu Je? | ||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
Friday, November 7, 2014
Ufaulu darasa la saba 2014 - Morogoro Vijijini hali ni tete
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment