Thursday, December 12, 2013

Bidhaa za Korosho

Pembeni kwa mbali kuna mvinyo unaotokana na mabibo  na zilizofungwa kama pipi au biskuti ni korosho. Hakika zinavutia mlaji. Hii ndiyo maana ya kuongeza thamani ya bidhaa. ( Picha  kwa hisani ya Dr. Kasuga wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo Naliendele, Mtwara)

No comments: