Wednesday, December 11, 2013

Mvua ikinyesha usafiri Kusini ni kasheshe!

Kama unavyoona pichani magari yamekwama. Adha ya usafiri kwenda mikoa ya kusini (Lindi na Mtwara) wakati mvua inaponyesha. Barabara hii itakamilika lini kuondoa kero hii? (Picha kwa hisani ya Dr. Kasuga wa Ari-Naliendele, Mtwara)

No comments: