Wednesday, December 11, 2013

Daraja la wapi hili

Kwa wale ambao wametembea sehemu nyingi Tanzania. Nifahamisheni daraja hili ni la wapi? Dr. Kasuga unaweza msaada wako unahitajika sana hapa (Picha kwa hisani ya Dr. Kasuga wa ARI-Naliendele, Mtwara)

No comments: