Kwa wale ambao wamekwishasafiri kupitia barabara ya Kilwa, ukitokea Mtoni Mtongani kuelekea Mbagala unapokuwa kwenye kituo cha Msikitini angalia upande wako wa kulia mlimani utaiona nyumba hii iliyoezekwa paa la rangi nyekundu. Ukipita usiku taa za nje za nyumba hii zote ni nyekundu. Huyu ni mpenzi mwenzangu wa klabu yetu ya Msimbazi- Simba Sports Club. Popote jitangaze, unaogopa nini?
No comments:
Post a Comment