Kwa waliosoma Mananga Centre of Management Development jina la Chris Sibandze si geni. Kwani kwa kawaida huyu ndiye anayekupkea kutoka airport ya Matsapha na kukufikisha chuoni. Ni mwelewa na anafanya shughuli nyingi. Unajua kazi yake, nchi yake na utamaduni wao.Utakueleza mambo mengi yanayohusu Swaziland ukitaka. Sijawahi kumuona akikunja uso.
Pichani Chris akiwa kwenye banda kijiji cha utamaduni Mantenga akifurahi ngoma.
No comments:
Post a Comment