Wednesday, June 1, 2011

Cholima Agricultural Research


Wengine hukiita kituo cha Utafiti wa Kilimo Dakawa. Kituo hiki kipo wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro. Ni maarufu kwa utafiti wa mpunga. Kilianzishwa na Jamhuri ya Watu wa Korea (Korea Kaskazini)na kufunguliwa rasmi na Rais Mwl. Julius K.Nyerere, mwaka 1985. Kinaendeshwa na Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika, Idara ya Utafiti na Maendeleo.Kil

No comments: