Msitu unaoonekana mbele ya gari hili askari wengi wa Wahehe walikufa hapo wakati wakipambana na Wajerumani. Kisa ni kwamba mjerumani mmoja alifyatua risasi alipomuona kanga (ndege). Wahehe kwa kutaharuki wakaanza mashambulizi ndipo walipogundulika na Wajerumani hivyo kuwamaliza. Mnara wa kumbukumbu uko wapi?
No comments:
Post a Comment