Tuesday, June 7, 2011

HA! LEO 'BIRTH DAY' YANGU


Leo ni 'Birth day yangu'. Na leo natimiza post ya 1000 katika blog yangu. Namshukuru Mungu kwa kunipa uhai hadi kufikia siku ya leo Jumanne 7/6/2011. Nimefurahi pia kuingiza post ya elfu moja tangu kuanza kwa Blog hii. Mwezi huu ni mwezi wa mafanikio kwangu kwa mara ya kwanza kwa mwezi mmoja nimeingiza zaidi zaidi ya post 60!

2 comments:

Belo said...

Hongera sana,tunakuombea kwa MUNGU uzidi kutupa habari,elimu na burudani

Banzi wa Moro said...

Nakushukuru Bw. Bello

Asante sana