Jana Tarehe 2 Mei 2011 katika Kanisa Katoloki Mt. Maximillian Kolbe,Parokia ya Mwenge, Jimbo Kuu la Dar Es Salaam. Kardinali Polycarp Pengo aliwapa daraja la upadri Mapdre watano wa Shirika la Salvatorian akiwemo Padri Fortunatus Oscar Banzi hivyo kuongeza idadi ya mapadri katika familia ya akina Banzi. Ashukuriwe Mungu kwa jambo hili jema.
No comments:
Post a Comment