Kitanda, TV, Fan,na sofa nililipia Tshs 12,000/- kwa usiku mmoja. Cha kufurahisha sana asubuhi kwenye mgahwa wa karibu ni supu ya kuku wa kienyeji.Tandahimba raha tupu siyo adhabu. Ila tulipokuwa safarini usiku kuelekea Tandahimba watu walikuwa wakipiga kelele- CCM hao!
2 comments:
Hii shemeji inaonyesha watu wamechoka na ccm. Wakilinganisha hali ya maisha miaka sita iliyopita hasa kipindi cha Mzee Mkapa mfumko wa bei haukuwa kama ilivyo sasa. Tunaomba mungu atusaidie vinginevyo itabidi tufanye tradeoff kwenye maisha tunayoishi.
Sijawahi kufika Tandahimba na Newala,inabidi nitafute safari ya kufika haya maeneo
Post a Comment