Wednesday, June 1, 2011

Kituo cha Kusambaza Teknolojia za Kilimo


Kwa kuwa maji ni muhimu kwa viumbe hai. Kituo kipya cha usambazaji wa wa Teknolojia za Kilimo kilichopo Dakawa, Morogoro visima vya maji vimechimbwa kituoni na maji yanapatikana kwa wingi.

No comments: