Friday, January 13, 2012
Maktaba ya Mkoa - Arusha mmh!
Ilifika zamu ya Henry
Henry ni Mhandisi wa Kilimo kijana aliyajiriwa katika Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika takribani miaka miwili iliyopita.Kwa muda wa majuma mawili yuko ESAMI - Arusha akijengewa uwezo kwenye masuala ya jinsia hasa katika uandaaji wa bajeti. Pichani anaonekana akitoa maelezo kuhusu moja ya taarifa za wizara kujaribu kuangalia kama zina mtazamo wa jinsia (Gender sensitive)
Chama Kikuu cha Ushirika Arusha
Hilo ni jengo la makao makuu ya Chama cha Ushirika Arusha. Arusha ni mkoa maarufu kwa mazao ya chakula na biashara. Zao kuu la biashara ni Kahawa na mazao ya chakula ni mahindi,maharage,ngano. Aidha mkoa huu huzalisha kwa wingi mboga mboga (nyanya, vitunguu, mchicha n.k.)hivyo inahitaji chama imara cha Ushirika
Mawasiliano ni pamoja na kutumia mbao za matangazo
Ni vyema kulitunza gari
Ni wakati wa kuwasilisha
Barbershop kali Arusha
Arusha inawekeza kwa Hotels
Thursday, January 12, 2012
Jua limekausha mahindi ya Arusha
Hotel Pallsons Arusha
Arusha wanavyothamini elimu
Wednesday, January 11, 2012
Hii ndiyo ESAMI Bwana
Nipo A town kwa kujengewa uwezo wa kuchambua masuala ya jinsia hasa katika bajeti.East and South Africa Management Institute (ESAMI)ndiyo wanaoendesha mafunzo haya kwa wafanyakazi 6 kutoka Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika. Chuo hiki kwa kweli ni cha aina yake katika Bara letu la Afrika na kimebobea katika masuala ya menejimenti- sekta mbalimbali.
Jiji la Arusha
Monday, January 2, 2012
Mkesha wa mwaka mpya nyumbani kwa Makishe
Kuelekea Mwaka mpya 2012
Zawadi ya Kwanza ya 2012
Tarehe 1/1/2012 rafiki yangu Bleshi wa Kisemvule alinizawadia Nanasi moja kubwa. Mimi nadhani hii ni zawadi yangu ya kwanza ya mwaka 2012. Ni nanasi kubwa lilivunwa kutoka kwenye moja ya mashamba ya wakulima wadogo wa wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. Kila mmoja alitaka kupiga picha akiwa na nanasi hilo.


2012
Subscribe to:
Posts (Atom)