Tarehe 1/1/2012 rafiki yangu Bleshi wa Kisemvule alinizawadia Nanasi moja kubwa. Mimi nadhani hii ni zawadi yangu ya kwanza ya mwaka 2012. Ni nanasi kubwa lilivunwa kutoka kwenye moja ya mashamba ya wakulima wadogo wa wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. Kila mmoja alitaka kupiga picha akiwa na nanasi hilo.
No comments:
Post a Comment