Kilimanjaro Bus Service ni moja ya makampuni yanayotoa huduma za usafiri wa abiria - Dar-Arusha-Dar kwa kutumia mabus ya kisasa. Kampuni hii ni ya uhakika, haina longo longo, ina mabus mengi pia mabus yake husafiri kwa kuzingatia muda. Wanao wasaidizi wanaotoa huduma kwa abiria wawapo safarini. Huduma za vinywaji baridi hutolewa safarini.Pichani msaidizi akitoa huduma ya kutoa mizigo baada ya bus kuwasili jijini Arusha
No comments:
Post a Comment