Henry ni Mhandisi wa Kilimo kijana aliyajiriwa katika Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika takribani miaka miwili iliyopita.Kwa muda wa majuma mawili yuko ESAMI - Arusha akijengewa uwezo kwenye masuala ya jinsia hasa katika uandaaji wa bajeti. Pichani anaonekana akitoa maelezo kuhusu moja ya taarifa za wizara kujaribu kuangalia kama zina mtazamo wa jinsia (Gender sensitive)
No comments:
Post a Comment