Hilo ni jengo la makao makuu ya Chama cha Ushirika Arusha. Arusha ni mkoa maarufu kwa mazao ya chakula na biashara. Zao kuu la biashara ni Kahawa na mazao ya chakula ni mahindi,maharage,ngano. Aidha mkoa huu huzalisha kwa wingi mboga mboga (nyanya, vitunguu, mchicha n.k.)hivyo inahitaji chama imara cha Ushirika
No comments:
Post a Comment