Thursday, January 12, 2012

Arusha wanavyothamini elimu


Jiji la Arusha limejaa taasisi nyingi za elimu za kitaifa na za kimataifa. Kuanzia elimu ya msingi wazazi wanajali sana. Pichani wazazi pamoja na walezi wakiwavusha watoto wao sehemu ya Relini barabara ya Njiro kuelekea shuleni.

No comments: