Monday, January 30, 2012

Banzi wa Moro wilayani Meru

Nikiwa mkoani Arusha nilipata fursa ya kutembelea wilaya ya Meru. Hapa Banzi wa Moro katika viwanja vya Meru!

2 comments:

drngarawakessy said...

kwakweri mazingiara ya hapo namazuri sana,Tanzania tunamengi yakujivunia moja yapo nimazingira mazuri

Innocent John Banzi said...

Asante Dr Kessy.Najua kwa sasa huko Russia ni barafu tupu na mwaka huu nasikia hali ya hewa imebadilika sana barafu imedondoka kwa wingi. Lakini hapa nyumbani kama unavyoona raha mustarehe nimevaa 'tapchka' eti ni sawa? (Bado sijasahau kirusi!)