Tuesday, January 17, 2012

Hajasahau kutengeneza vyombo vya elekroniki


Himili Mbawala ni Mhasibu kitaalamu lakini kabla ya hapo kwa utundu wake tangu alipokuwa mwanafunzi wa shule ya msingi alikuwasambamba na baba yake marehemu Ireneus Mbawala kujifunza ufundi hasa wa redio na baadaye Televisheni. Juzi jumapili aliweza kutengeneza Tv ya mama yake huku mwanae Vanesa akiwa sambamba naye. Je naye atakuwa fundi? Mtoto kama baba kama babu?

1 comment:

Belo said...

Sijui kwa nini Baba Vanessa alienda kusoma Uhasibu,nafikiri alipaswa asome Electronics au IT