Huwezi kuamini kuwa hii ndiyo maktaba ya mkoa wa Arusha (Arusha Regional Library). Ni ndogo na haina 'facilities.' za kutosha.Sote tunafahamu jinsi watu wa Kaskazini wanavyotoa kipaumbele katika masuala ya elimu na kwa kuzingatia vichwa vinavyotoka katika ukanda huu wa nchi yetu na uwekezaji unaofanywa, watalii wanaotembelea ukanda huu pamoja na 'watu wa mawe' waliopo Arusha wasomi na taasisi za kitaifa na kimataifa hakika wanahitaji maktaba ya kisasa.
No comments:
Post a Comment