Arusha ni jiji la matanuzi,mzunguko wa fedha ni mkubwa sana hapa kuna 'watu wa mawe' kuna watalii kuna wasomi na kuna wanasiasa. Hivyo kila mtu anaishi kutokana na hali yake. Ukienda madukani bei ya bidhaa haikamatiki kabisa. Lakini mitaani kama Banzi wa Moro alivyowakuta wananchi hawa kwa raha zao wakijichagulia mitumba kwa raha zao, ni 'sagulasagula' kama mtaa wa Congo Dar. Unapata picha gani?
No comments:
Post a Comment