Friday, January 13, 2012

Barbershop kali Arusha

Hii ni moja ya Barbershop ya kisasa katika jiji la Arusha inapatikana barabara ya Selian kwenye jengo la NHC. Ni barbershop ya ukweli mwanangu kichwa na ndevu tsh 4000/- unaambiwa jumamosi ipo fulu fulu!

No comments: