Paul Salia ni Mhadhiri kutoka Chuo cha Uhasibu Arusha.Amebobea katika masuala ya menejimenti, Planning, Monitoring and Evaluation, Gender Analysis na mengineyo. Kwa muda wa juma moja ndiye aliyekua akitupa skills na knowledge kuhusu uchambuzi wa masuala ya jinsia (Gender Analysis). Kwa umahiri wake ESAMI wamempa kazi ya kutunoa katika masuala ya jinsia. Pichani anaonekana akishusha ujuzi na uzoefu wake bila kitabu!
No comments:
Post a Comment