Friday, December 12, 2014

Masjid Maftah-Morogoro

Msikiti maarufu mjini Morogoro unaojulikana kwa jina lililozoeleka kuwa ni 'Msikiti wa Mahita' jina lake halisi ni Masjid Maftah. Msikiti huu upo katika maeneo ya Misufini karibu kabisa na nyumba ya wageni ya Lyamungo.

No comments: