Kwa takribani juma moja nilikuwa mkoani Mtwara hususani Wilaya za Mtwara na Tandahimba tukiperemba teknolojia za zao la muhogo zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kupitia Mradi wa EAAPP (Eastern Africa Agricultural Productivity Project). Tulishuhudia mambo mazuri kutoka kwa Wakulima waliyojifunza kupitia mradi huo na pia mapungufu yaliyojitokeza ili kuweza kujipanga vizuri katika utekelezaji wa mradi huo pamoja na miradi mingine itakayofuata katika lengo la kuongeza uzalishaji na tija katika kilimo
Friday, December 5, 2014
Tunaperemba zilikopelekwa teknolojia za kilimo
Kwa takribani juma moja nilikuwa mkoani Mtwara hususani Wilaya za Mtwara na Tandahimba tukiperemba teknolojia za zao la muhogo zilizopelekwa na Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika kupitia Mradi wa EAAPP (Eastern Africa Agricultural Productivity Project). Tulishuhudia mambo mazuri kutoka kwa Wakulima waliyojifunza kupitia mradi huo na pia mapungufu yaliyojitokeza ili kuweza kujipanga vizuri katika utekelezaji wa mradi huo pamoja na miradi mingine itakayofuata katika lengo la kuongeza uzalishaji na tija katika kilimo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment