Wednesday, January 22, 2014

Chai maharage bado zipo Zanzibar

Usafiri wa mjini kisiwani Zanzibar  kwa kutumia magari yajulikanayo 'chai maharage"  bado unatumika. Hebu angalia jinsi watalii walivyofurahi!

No comments: