Tuesday, January 28, 2014

Mbegu ya mpunga TXD 306 a.k.a SARO 5

Mbegu ya mpunga TXD 306  iliyozalishwa na watafiti wa kilimo Tanzania maarufu kwa jina maarufu la SARO 5 kwenye maonyesho ya kilimo kitaifa huko Dodoma ikipigiwa debe.

No comments: