Monday, May 6, 2013

Waziri Mathayo azindua Baraza la Malisho ya Mifugo na Vyakula vya Wanyama

Tarehe 25/4/2013 Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt Mathayo David Mathayo alizundua Baraza la Kwanza la Malisho ya Mifugo na Vyakula vya Wanyama katika Hotel ya Blue Pearl-Ubungo Plaza jijini Dar Es Salaam.Banzi wa Moro ni mjumbe wa Baraza hilo. Kaeni mkaa wa kupata viwango bora vya vyakula vya mifugo!

No comments: