Thursday, June 19, 2014

Hata kilimo cha bamia kina matatizo yake

Bamia ni mboga nzuri licha ya kuwa hali ya kuteleza. Watanzania wengi hupenda kula bamia hasa linapochanganywa na nyanya chungu. Lakini ili uweze kupata zao bora la bamia lazima lipate mbolea na unyevu wa kutosha  na kulikinga na magonjwa na wadudu

Uyoga

Uyoga chaza (Oystermushroom)
Mwaka 2003 duniani biashara ya uyoga na mazao yake iliingiza kiasi cha dola za kimarekani  bilioni 40 lakini Afrika iliambulia chini ya asilimia moja tu (kutoka kitabu cha Mwongozo wa Kilimo cha Uyoga chaza - Dkt Mshandete na wenzake 2008)

Huyu ndiye Van Persie wa Uholanzi

Van Persie anang'ara huko Brazil anajituma kwa timu yake ya Taifa 'The Orange'   amewafunika Rooney na Ronaldo!

UJERUMANI-Chama langu la World Cup 2014

Jamani hili ndilo chama langu la World Cup 2014- UJERUMANI!

Monday, June 16, 2014

Zawadi kutoka Africana Group


Dada Vero na Cesar wakionyesha bidhaa ya Africana Group


Toleo la kanga kutoka Africana Group (Kibanda Kimoja)

Dada Barbara alifurahi kweli kweli

Wana Africana  wakitunza wanandoa zawadi kutoka Africana Group Dar
Africana Group kutoka Dar es Salaam ilifunga kazi pale ilipokabidhi zawadi za Africana kwa wanandoa  zikiwemo kanga  T-shirt n.k. Africana ilichukua  fursa hiyo kutangaza bidhaa zake ambazo ziko sokoni. Hiki ni kikundi cha wanandugu ukoo wa Wambiki na watoto wao akina Banzi wanaoshirikiana pamoja kujenga na kuimarisha udugu wao.

Zawadi nyingine




Kapu la mama

Mama Sophy (Barbara Mbiki) akiwa amebeba kapu





Kutunza kapu la mama. Ingawa anatunzwa mama lakini zawadi zote hizi ni za Sophy kwa ajili ya kuanzia maisha. Zawadi nyingi ni vifaa vya nyumbani.

Rajabu na Sophy wakiserebuka ukumbini


Bwana harusi Rajabu na Bi harusi Sophy wakiserebuka ukumbini kwa raha zao

Bi. Sophy na mumewe Rajabu ukumbini





Bi. Sophy akikaribishwa ukumbini






Sophy alivikwa pete ya harusi

Sophy pokea pete hii.........................................................................

Ok, Kwaito ruksa na baibui

Inapendeza kucheza Kwaito huku umevalia baibui. Jaribu uone

Mipango ilipokamilika tuliserebuka ukumbini





Akina Banzi hao!



Toss na maharusi


wako waliocheza Kwaito

Kamati ya Mipango


Nipo nje na timu yangu ndogo tukipanga jinsi tutakavyowapokea wanandoa. Uncle Sophy na mumewe Rajabu

Wanandoa






Bi-Sophy na mumewe Rajabu siku ya harusi yao mjini Morogoro

Mchakato wa kufunga ndoa kati ya Bw. Rajabu na Bi Sophy Mluge

Bw.harusi na mpambe wake 

Wajombe tukishuhudia ndoa ikifungwa



Shehe akiweka taarifa sahihi za wanandoa kabla ya kufungisha ndoa ya Bw Rajabu na Bi Sophy Mluge

Mchakato wa siku ya kufunga ndoa kati ya Bw. Rajabu na Bi Sophy Mluge huko Tumbaku-Morogoro.Tarehe 14/06/2014

Mapokezi ya Bw. Harusi



Bw.Harusi akipokewa kwa shangwe tayari kwa kufunga ndoa na Bi. Sophy Mluge