Wednesday, June 4, 2014

Choo kipya Vikindu Sekondari

Hili ni moja ya jengo la choo kipya lenye matundu 10  lililojengwa kwa nguvu ya wazazi wa wanafunzi wanaosoma Vikindu Sekondari iliyopo wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani

No comments: